Freemasons ndani ya Makanisa

Nipe ushahidi SDA kuwa washirika wa freemason
Ndugu mimi ni mu SDA, nalijua kanisa langu in and out, SDA toka wafariki waanzilishi kina E.G wHITE, freemason waliliingilia, na E.G.WHITE alioneshwa maono ,

je unajua FREEMASON hutumia viongoz wa juu kuingiza mafundisho kwenye makanisa? je unajua kina E.G.WHITE walipinga kanisa kuwa na kiongoz mmoja juu ,anayeunda mfumo wa pyramid, ambaye kwasasa ni raisi wa kanisa, au kwa roma ni papa, huu ni mfumo ambao ma freemason wameuingiza kwenye makanisa yote,

E.G.WHITE alipofariki , ndipo kanisa la SDA, likaunda huo mfumo wa pyramid ambao kunakuwa na kiongoz wa juu, anaitwa RAISI, kwa roma huitwa papa,

"Makanisa mengi ya kiprotestant yanafuata uovu wa Roma,wakiungana na wafalme wa dunia,makanisa ya nchi;kwa uhusiano wake na serikali za dunia na madhehebu mengine kwa kutafuta ukubali.Neno Babeli,machafuko laweza kufaa kutumika kwa makanisa haya,WOTE WANAKIRI KUTOA MAFUNDISHO KUTOKA KWENYE BIBLIA,BADO WAKIWA WAMEGAWANYIKA KARIBIA VIKUNDI VISIVYOHESABIKA,KWA UPANA WAKIWA NA KANUNI NA NADHARIA ZINAZOPINGANA

ALIPOKUFA TU E.G.WHITE SDA ikaanza kutumia Kijitabu kiitwacho KANUNI ZA KANISA, kupitia humo ndipo mafundisho kutoka ROMA hupitishwa, na huwa kinafanyiwa marekebisho kila baada ya miaka mitano na viongozi wa juu tu,

Haya waadventista wasabato,leo ndani ya kanisa kuna kitabu cha kanuni na tunakitumia,lakn wasabato wa awali hawakuwa na kanuni.1930 ndipo kanuni inayoyotumika sasa ilibuniwa,na inabadilika au kuletwa mpya baada ya miaka mitano.

Roho ya unabii inaonya kuwa ,kanisa kuwa na kanuni iliyoundwa na mwanadamu ni uasi,na Kanisa la SDA linatumia Kitabu cha Kanuni,manake limeasi? NAKUACHIA SWALI

Lakini cha ajabu zamani hiki kitabu kiliitwa "Kanuni za kanisa" baada ya baadhi ya watu wachache kukitilia mashaka kwa kutumia Roho ya unabii ,viongozi wakakibadilisha jina wakakiita"Mwongozo wa Kanisa" wakasahau msemo usemao "Nyani wapya msitu wa zamani"
 

Nashukuru kwa huu ujumbe binafsi nimeshindwa kuelewa hili la kuwa na raisi wa kanisani kuna siku nilijiuliza sasa huyu raisi si anafanana tu na pope na ukifatilia huyu raisi ambae makao makuu yake yapo huko marekan ana watu wake walio chini yake dah nilishangaa sana mkuu kweli niliona tumepigwa kabisa ila nikapotezea tu but uwepo wa raisi haufanyi mimi nione SDA members kuwa freemason
 
Asanthe kwa kuchukua mda wako kuelezea hili..roho mtakatifu anakujaje ndani yako?and hw will you know it.?
Roho mtakatifu kila mtu anaye ila tunatofautiana viwango tu, huyu ni rafiki yetu ,ni mpole , tunachotakiwa ni kuomba tupate ujazo ,

Basi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwawapa Roho Mtakatifu hao wamwombao? Luka 11:13

Yesu alipowatangazia wanafunzi kuwa angelikwenda kwa Baba, aliahidi kuwatumia Roho Mtakatifu. “Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina Langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia” (Yn. 14:26).

Kulingana na Yesu, Roho Mtakatifu ni parakletos, yaani, “Msaidizi,” au “Mfariji,” au “Mtetezi” anayetuombea. Wakati huohuo Yesu pia alitangaza kazi ambayo Mtetezi huyu angeifanya: Yeye “atauhakikisha” ulimwengu kwa habari ya dhambi na haki na hukumu (Yn. 16:8).

UTAJIJUA KUWA UNA ROHO MTAKATIFU HATA KIDOGO , KWA KAZI ZAKE NAKUPA MFANO, UTAKUWA UNAKOSA AMANI SANA UNAPOKOSEA , UTAJIKUTA UNAHITAJI KUOMBA, NA KUTUBU...hiyo ni kazi ya ROHO MTAKATIFU,
 
HUYO RAISI kipindi cha kina E.G WHITE hakuwepo, huyo hana tofauti na papa, freemason ni wajanja sana, wanajua SDA waumini ni wasomaji wazuri wa biblia, hivo wangeingiaje kupitisha mafundisho yao, wakaja na hiyo trick , wanachokitak hupitishwa kupitia hiko kitabu kiitwacho KANUNI ZA KANISA, AU MUONGOZO WA KANISA, NI SAWA TU ROMA WANAVYOTUMIA KATEKISIMU, MISALE, NA MAPOKEO .

Nabii E.G WHITE miaka ya mwishoni alisema hivi kuhusu hao viongoz wa ndani ya kanisa, soma hap uone

“Kanisa liko katika hali ya ulaodikia, kuwepo kwa Mungu hakumo katikati yao“
3S 84 (1903); 1NL 99 ( 1898 ); Matukio ya siku za mwisho 164

“Ndio maana imepita miaka mingi, sioni General Conference kama sauti ya Mungu“
17MR 216 (1898);

“Kwamba watu hawa wangepaswa kusimama katika mahali patakatifu, kuwa kama sauti ya Mungu kwa watu, kama hapo mwanzo tulivyoamini General Conference kuwa – hilo sasa limepitwa na wakati”
GC Bulletin April 3, 1901, p. 25
 
Theories nyingi sana. Kila kitu unachosema ukikifanya kuwa kweli utachanganyikiwa. Hadi Roho Mtakatifu wamuhusisha na mziki wa rap?
 
Kumbuka tu kuwa Priory of Sion has never existed in real life. It was a HOAX created by Plantard in 1950s and 60s and recently promoted and portrayed as factual in Dan Brown's novel - the DaVinci Code.
 
Evidence unayo mkuu juu ya hili...
LUKA 4

5 Kisha shetani akamchukua hadi juu ya mlima mrefu akamwonyesha kwa mara moja milki zote za dunia.

6-7 Akamwambia, “Ukipiga magoti na kuniabudu, nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake; maana ni zangu na ninaweza kumpa ye yote yule nimtakaye.”

8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.’

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Theories nyingi sana. Kila kitu unachosema ukikifanya kuwa kweli utachanganyikiwa. Hadi Roho Mtakatifu wamuhusisha na mziki wa rap?
kile wanachofanya walokole aliyekudanganya ni kazi ya roho mtakatifu ni nani?
 
Nimegungua mtoa mada ni msabato,lkn ndani ya sabato kuna freemason
 
Najishangaa Mungu amenipa uelewa na ufahamu mkubwa sana juu ya neno lake lkn kwa nini kaniacha nambwelambwela tu bila kuwaongoza wengine ktk kweli yake? Mkuu ujumbe wako uko sawa sana sana. Hata Mungu mwenyewe amesema mara nyingi sana juu ya shetani kuingiza mafundisho ya uongo kanisani au kuanzisha makanisa yake ya uongo.
 
Kausome Uislamu hlf uje kutoa ushahidi hpa

Tatizo watu wengi mumekaririshwa vitu vibaya na wasiokua Waislamu ila Uislamu haupo ivo

Ukitaka maelezo zaidi nambie nikuelekeze ukausome Uislamu hlf uje kuleta ushahidi hpa
 
Kwanza ningependa Nikusahihishe Mwandishi, GCSDA sio Kanisa, Ni Taasisi Kama ilivyo Taasisi nyingine za Makanisa MbaliMbali ambayo inasimamia maswala yote ya Dhehebu la Kisabato iliwemo kusimamia Vitengo MbaliMbali vya Kanisa Duniani Kote.

Wala sijaona Msabato yoyote anaesali siku tofauti na Jumamosi au Kanisa lolote linao operate Kwa jina la wasabato wanaosali siku tofauti na Jumamosi.

Kuhusu Logo, ni kweli ni jambo ambalo limezua mitazamo tofauti hasa Kwa ma conspiracy theorists. Katika Unabii wa Wasabato hivi vitu vimeongelewa sana na Wala Msabato Alie kamili hata shangaa kuona haya yakitokea Mfano Kwa maana ni mambo yaliyoandikwa.

Ona Unabii huu ambao ulinenwa na Ellen G. white katika Moja ya Kitabu chake

"It was presented before me in the following manner: A large company of heathen idolaters bore a black banner, upon which were figures of the sun, moon, and stars. This company seemed to be very fierce and angry. I was then shown another company bearing a pure white banner, upon which was written, "Purity and holiness unto the Lord." Their countenances were marked with firmness and heavenly resignation. I saw the heathen idolaters approach them, and there was a great slaughter. The Christians melted away before them; and yet the Christian company pressed the more closely together, and held the banner more firmly. As many fell, others rallied around the banner and filled their places." (Early Writings 211.3)

"A company was presented before me under the name of Seventh-day Adventists, who were advising that the banner or sign which makes us a distinctive people should not be held out so strikingly; for they claimed it was not the best policy in securing success to our institutions. This distinctive banner is to be borne through the world to the close of probation. In describing the remnant people of God
 
Malogo designers muda sio mrefu wataitwa mafreemason. Maana k
Inaathali gani kwa waumini. Au inawatupia majini.


Unaweza kuweka ushahidi wakirfreemason kutenganisha maoni yako na mafreemason
 
DINI YA KWELI NI UISLAMU Peke ake

Endelea kuwaelimisha hao wasiojua

ukikataa ukikubali lkn UISLAMU utasonga mbele
Kwa nini huwa unapenda kumpinga Muhammad na Allah , scholar wenu wamejirekodi kabisa Wana sema Uislamu unakufa
Allah amesema wazi Uislamu ulianza ul kama kituko na utarudi kuwa kituko , akasema tena ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo

“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986

He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
 
Nimeichunguza kiundani hii nembo ya waSDA imedesigniwa kiujanja sana huo msalaba umegeuzwa juu chini ila hadi utulie kuangalia kwa makini !!! View attachment 2104534
Waasisi wa Adventist movement ni wa hovyo, Smith alikuwa freemason na inafahamika. Wao kutwa kushift attention kwenda kwa kanisa katoliki lakini hawataki kuangalia giza katika kikanisa chao cha hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…