Freemasons wajizihirisha live kwenye jukwaa la walevi

Freemasons wajizihirisha live kwenye jukwaa la walevi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu wapendwa katika bwana

Nimesikitika sana Leo baada ya kuona maandiko yanatimia

Shetan hupenda sana anasa walevi, wazinsi, wauaji wote wake

Shetan ameamua kupak bus kwenye Uzi Wa walevi amekaa akicheka sana

Kajizihirisha kupitia namba Tisa yaan had nimeogopa .

9
9
9

Comment namba 1 hadi 3 zinaishia na 9 coment ziko 3 zinaishia na 9 na 9 kutoa 3 utapata 6 . 9-3=6


Shetan anapenda sana walevi ndo maana ameket kwenye Uzi Wa walevi

6
6
6

Mkimbien shetan


LONDON BOY
Screenshot_20190122-215933.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom