Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Mnakumbuka alipofariki msanii maarufu wa filamu Tanzania Steven Kanumba liliibuka wimbi la vijana wengi wengine wakiwa na lafudhi za nchi jirani waliokuwa wakikusanya watu na kuelezea habari za freemasons Tena kwa UPOTOSHAJI mkubwa.
Freemasons Tanzania hawakujibu chochote kusahihisha upotoshaji huo.
Cha kushangaza wale watu waliongopa sana lakini baada ya miaka kadhaa wakapoteza mvuto na kutoweka.
na hata Sasa Kuna watu mbali mbali wanajiita Freemasons wanachapisha matangazo Instagram na kwenye magazeti, kwenye nguzo za umeme wakidai kuunganisha watu freemasons lakini Bado Masons wako kimya kabisa.
Hawa jamaa wana USTAHIMILIVU WA ajabu kabisa
Ukipata muda pitia documentary hii ambamo waandishi waliruhusiwa kuingia kwenye mahekalu na kufanya mahojiano na members.
View: https://youtu.be/uprDKoCBg1Y?si=dwMGiVNdWJjL_INe
Utagundua kwamba freemasons ni tofauti sana na wanachoamini watanzania wengi