Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Shamba wanakimbia wanakuja mjinjWataupata shambani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamba wanakimbia wanakuja mjinjWataupata shambani
Nilisoma pahala kwamba hata member wa lodge ya dar es salaam hawezi kuingia lodge ya Arusha bila utaratibu maalumnguvu ya taasisi au mtu yeyote iko ktk siri(privacy).kinachofanya waendelee kuogopeka ni kutojaribu hata kujibu hizo tuhuma,maana wakijibu kwa kukanusha au kuafikiana nazo tayari wametoa hints zao muhimu kuwahusu.
ikiwa mtu daraja 1 haruhusiwi kujua ya daraja la 2 au la 3 kuendelea,vipi wa daraja 0 atatakiwa ajue hata moja la taasisi kivipi😆😆😆
Nilisoma pahala kwamba hata member wa lodge ya dar es salaam hawezi kuingia lodge ya Arusha bila utaratibu maalum
Mnakumbuka alipofariki msanii maarufu wa filamu Tanzania Steven Kanumba liliibuka wimbi la vijana wengi wengine wakiwa na lafudhi za nchi jirani waliokuwa wakikusanya watu na kuelezea habari za freemasons Tena kwa UPOTOSHAJI mkubwa.
Freemasons Tanzania hawakujibu chochote kusahihisha upotoshaji huo.
Cha kushangaza wale watu waliongopa sana lakini baada ya miaka kadhaa wakapoteza mvuto na kutoweka.
na hata Sasa Kuna watu mbali mbali wanajiita Freemasons wanachapisha matangazo Instagram na kwenye magazeti, kwenye nguzo za umeme wakidai kuunganisha watu freemasons lakini Bado Masons wako kimya kabisa.
Hawa jamaa wana USTAHIMILIVU WA ajabu kabisa
Ukipata muda pitia documentary hii ambamo waandishi waliruhusiwa kuingia kwenye mahekalu na kufanya mahojiano na members.
View: https://youtu.be/uprDKoCBg1Y?si=dwMGiVNdWJjL_INe
Utagundua kwamba freemasons ni tofauti sana na wanachoamini watanzania wengi

ChaiNi vile tu imetanguli taarifa za uwongo lakini moja ya taasisi, au chama bora ni Freemason ni vile tu kilivyo sio chama au taasisi ya kila mtu.
What the hell is chai chaiChai