Freemasons waliwezaje kustahimili upotoshaji wa Kariakoo?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Mnakumbuka alipofariki msanii maarufu wa filamu Tanzania Steven Kanumba liliibuka wimbi la vijana wengi wengine wakiwa na lafudhi za nchi jirani waliokuwa wakikusanya watu na kuelezea habari za freemasons Tena kwa UPOTOSHAJI mkubwa.

Freemasons Tanzania hawakujibu chochote kusahihisha upotoshaji huo.

Cha kushangaza wale watu waliongopa sana lakini baada ya miaka kadhaa wakapoteza mvuto na kutoweka.

na hata Sasa Kuna watu mbali mbali wanajiita Freemasons wanachapisha matangazo Instagram na kwenye magazeti, kwenye nguzo za umeme wakidai kuunganisha watu freemasons lakini Bado Masons wako kimya kabisa.

Hawa jamaa wana USTAHIMILIVU WA ajabu kabisa

Ukipata muda pitia documentary hii ambamo waandishi waliruhusiwa kuingia kwenye mahekalu na kufanya mahojiano na members.


View: https://youtu.be/uprDKoCBg1Y?si=dwMGiVNdWJjL_INe
Utagundua kwamba freemasons ni tofauti sana na wanachoamini watanzania wengi
 
hawana nguvu kwa kuwa amekuja ambaye mwenye nguvu kuliko wao
 
Moja ya mbinu kubwa ya freemason ni upotoshaji kwamba wao ni watu safi katika jamii na wana maajenti wao wanaofanya kazi hiyo katika sehemu mbalimbali mfano jf n.k kwa ustadi mkubwa. Hawa wajenzihuru ni wachawi wa digrii ya juu sana.

Sasa haya ndiyo mawazo ambayo watanzania wanayapenda. Nakuhakikishia, utapata wafuasi wengi. Utaanzisha kanisa lako
 
Hehehehe... fremason ni globalist sio wa kuwaamini hata kidgo wanatufariji tu. Ni watu hatari sana

Sawa ni hatari, tunaomba tutajie hatari zenyewe bayana kwa kutumia vyanzo vinavyo aminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…