Freemasons waliwezaje kustahimili upotoshaji wa Kariakoo?

Kwa mara ya kwanza nilisoma habari za Freemasons mwaka 2002 kwenye Gazeti la Rai makala iliyoandikwa na Mwandishi William Shoo.. alielezea vizuri hii taasisi jinsi ilivyoenea Dunia na malengo .. miaka michache baadae nikawa nakutana na vipeperushi vimetupwa mitaani usiku vikielezea watu kujiunga na Freemason kupata utajiri .. watu wametapeliwa sn..
 
nguvu ya taasisi au mtu yeyote iko ktk siri(privacy).kinachofanya waendelee kuogopeka ni kutojaribu hata kujibu hizo tuhuma,maana wakijibu kwa kukanusha au kuafikiana nazo tayari wametoa hints zao muhimu kuwahusu.

ikiwa mtu daraja 1 haruhusiwi kujua ya daraja la 2 au la 3 kuendelea,vipi wa daraja 0 atatakiwa ajue hata moja la taasisi kivipi😆😆😆
 
Nilisoma pahala kwamba hata member wa lodge ya dar es salaam hawezi kuingia lodge ya Arusha bila utaratibu maalum
 
Nilisoma pahala kwamba hata member wa lodge ya dar es salaam hawezi kuingia lodge ya Arusha bila utaratibu maalum

Eh na vipi utaratibu wa kutoka kigango kimoja kwenda kingine!? Haupewi barua ambayo ndio unaiwasilisha unapokwenda kwa ajili ya utambulisho na kuonesha wewe ni muumini na ni ruksa kushiriki taratibu zote za kiibada!?
 
Hizi zote ni Illusioni nakuhakikishia hamna cha freemason wala nini labda kipo kikundi cha wahuni fulani wenye IQ kubwa hucheza na akili za watu wakitumia mwamvuli wa freemason
 
Na bado kupitia huu uzi kuna watu watatapeliwa hapa hapa🤣🤣🙌
 
Freemasons is not a secret society, but a society with a secret!
 
Chai
 
Watanzania sisi kama sisi ndio sisi kwenye sisi wenye taasisi binafsi ajenda fikirishi tunakuwa hatarishi kama fisi kuvamia mazishi hatujui chochote kuhusu Dunia zaidi ya kuseme usibishane namimi mana nimeanza kuliona jua kabla Yako ni upuuzi sana mana Kuna jamaaa n
ilimuuliza nini maana ya freemasons ata translate tu hajui ila anachoamini yeye nikwamba niwatu wabaya,,,,yaani kiufupi ndo walewale wanakamini kuwa shetani ni mbaya aladu mungu ni mzuri.
 
Ni utukufu kwa Mungu kuficha jambo,ni heshima kwa mfalme kujua jambo.
 
Wale Jamaa hawajitangazi wala kujibu chochote kinachosemwa juu Yao. Ukiona matangazo yoyote yanayohusu freemason kwenye mitandao ya kijamii au kwenye nguzo za umeme ya kujibu chochote au kuwaalika watu wajiunge nao jua ni utapeli tu. Jamaa wapo smart sana na wanachokifanya. Wala vitu vya ajabu wanavyohusishwa navyo hata hawavijui...Na wenyewe wanasoma na kusikia tu km tunavyosikia Sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…