Habari Wakuu, nahitaji freezer la kununua kuanzia size ya kati wastani wa futi 3.5(105 cm) au Lita 300 na kuendelea. Liwe second hand na bei ifananie hapo. Ni kwa ajili ya biashara hivyo liwe linagandisha vizuri.
Napatikana Dar niPM kwa mawasiliano.
Napatikana Dar niPM kwa mawasiliano.