What i know sio shida
Najibu kwa uelewa wangu,
Freezers inapofanya kazi hugandisha barafu barafu ile ikiyryuka inakua maji
Maji hayo sio shida
Frij yako ina selection ya muda wa kugandisha
Mala nyingi utaona kuna kidude cha kuzungusha kuselekt namba
Zile namba kadiri unavyoongeza basi unaongeza uwezo wa friji kugandisha
Hivyo ikiwa umeweka namba za katikati inamaana friji inafanya kazi nusu ya dakika kuganda na nusu ya dakika kuueyuka
Ushauri
Kama unamatumiz madogo yasiotaka ugandishe sana basi weka namba za mwanzo mfano 1,2,3 hivi