INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
Ina mwezi mmoja
Lita 250
Price : 700k
Kinondoni DSM
0718909429

IMG-20220427-WA0013.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Halina vipengele?
Ina mwez mmoja kaka nauzia shida tu za familia
Huwezi ku convert volume capacity in liters to weightcapacity in kilograms kwa kifaa kama freezer. Haiendi hivyo. Hadi ujue density ya kitu husika, i.e., Mass = Density x Volume. Huhitaji kusomea PCM, Physics ya Form One inatosheleza.
 
Nimekosa hela ningechukua kwa bei hiyo sawa na Bure mpya 850000 kwa kuhurumiwa
 
Nimekosa hela ningechukua kwa bei hiyo sawa na Bure mpya 850000 kwa kuhurumiwa
Mimi nimeingiza hili freezer used toka UK, Lina ukubwa wa futi 6. Linatumia umeme mdogo na linagandisha vyema saana.

DM for more information.
DSC_2602.JPG
 
Mwenye freezer kuanzia 200lt - 250lt nahitaji hii ya mtoa uzi tumeshindanwa Bei hvyo mwenye nayo nyingine aje
 
Huwezi ku convert volume capacity in liters to weightcapacity in kilograms kwa kifaa kama freezer. Haiendi hivyo. Hadi ujue density ya kitu husika, i.e., Mass = Density x Volume. Huhitaji kusomea PCM, Physics ya Form One inatosheleza.
Jibu nikua ukiweka manyoya ya kuku linajaza kg 12 na ukiweka mawe linabeba kg 970
 
Back
Top Bottom