INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

U
Nimekosa hela ningechukua kwa bei hiyo sawa na Bure mpya 850000 kwa kuhurumiwa
Umesema kweli hata mimi nimenunua dukani mwaka 2022 800,000 watu wajitajia bei za ovyo ndo za dukani hata,muwe serious mtu akitangaza bei unaona huwez unakaa kimya tuu eti dukani chini ya 700,000
 
U

Umesema kweli hata mimi nimenunua dukani mwaka 2022 800,000 watu wajitajia bei za ovyo ndo za dukani hata,muwe serious mtu akitangaza bei unaona huwez unakaa kimya tuu eti dukani chini ya 700,000
Busara ilikuwa kuuliza duka linalouza hiyo bei liko wapi na sio kutokwa povu.
 
Mwenye freezer kuanzia 200lt - 250lt nahitaji hii ya mtoa uzi tumeshindanwa Bei hvyo mwenye nayo nyingine aje
Ninayo mkuu. Ila mambo ya lita sijui. Urefu ina futi 3.5 upana futi 2. Nauza au naexchange na friji ya kioo ( show case). Ni nzuri sana
IMG_20220809_123833.jpg
 
Back
Top Bottom