monga farm
Member
- Jun 25, 2021
- 89
- 163
Umesema kweli hata mimi nimenunua dukani mwaka 2022 800,000 watu wajitajia bei za ovyo ndo za dukani hata,muwe serious mtu akitangaza bei unaona huwez unakaa kimya tuu eti dukani chini ya 700,000Nimekosa hela ningechukua kwa bei hiyo sawa na Bure mpya 850000 kwa kuhurumiwa
Busara ilikuwa kuuliza duka linalouza hiyo bei liko wapi na sio kutokwa povu.U
Umesema kweli hata mimi nimenunua dukani mwaka 2022 800,000 watu wajitajia bei za ovyo ndo za dukani hata,muwe serious mtu akitangaza bei unaona huwez unakaa kimya tuu eti dukani chini ya 700,000
Kuna sehemu nimekutaja ??au ndo umeamkia pabaya unatafuta wa kubishana naeBusara ilikuwa kuuliza duka linalouza hiyo bei liko wapi na sio kutokwa povu.
Ninayo mkuu. Ila mambo ya lita sijui. Urefu ina futi 3.5 upana futi 2. Nauza au naexchange na friji ya kioo ( show case). Ni nzuri sanaMwenye freezer kuanzia 200lt - 250lt nahitaji hii ya mtoa uzi tumeshindanwa Bei hvyo mwenye nayo nyingine aje
Tayari mzee nilishapataNinayo mkuu. Ila mambo ya lita sijui. Urefu ina futi 3.5 upana futi 2. Nauza au naexchange na friji ya kioo ( show case). Ni nzuri sana
View attachment 2319054
Sawa bossTayari mzee nilishapata
PCM???Kwa Lita mkuu
Lita 250
Sasa change in to kg
1lt = kg?
X =?
Karibuni pcm