Freight Clearing and Forwarding Services

Freight Clearing and Forwarding Services

Gharama za ushuru ziko wazi sana mkuu, link hapa chini itakusaidia kujua kodi ya gari utakayopaswa kulipa kabla haujafanya maamuzi ya kununua gari nje ya nchi.

Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System

Nashukuru sana kwa msaada wako. Mfano, gari inauzwa USD 2500 na valuation lets say million 4 tsh.

Vipi tena kuhusu gharama zingine kama shipping na kuitoa bandarini. Naweza juaje hizo gharama pia. Ili niwe najumlisha mchakato mzima ili nipime uwezo wangu.

Nisaidie nijue from point one mpaka mwisho wa mchakato mpaka inakaa mkononi. Barikiwa sana kwa response yako.
 
1.Gharama za wakala wa meli (shipping line) ni $85 (Delivery Order fee, sumatra charges, car service charges) VAT included.
2.Gharama za bandari;
a). Handling charges, ambayo rate yake ni $7 plus VAT per CBM (Cubic Measurement yaani Urefu x Upana x Urefu). mfano Toyota IST ina CBM 10.12, kwa hiyo handling charges: (10.12 x $7) + VAT = $83.59
b). Corridor Levy, ambayo rate yake ni $0.3 plus VAT per CBM, mfano kwa IST inakua: (10.12 x $0.3) + VAT =$3.59
c). Wharfage charges, ambayo kwa sasa TRA wanaikusanya kwa niaba ya Bandari, rate ya wharfage ni 1.6% ya C.I.F value plus VAT. mfano Toyota IST yenye C.I.F $ 2,235, wharfage charges: ($2,235 X 1.6%) + VAT =$42.20.
3. Mwisho mkuu ni gharama za uwakala (agency fee) inaanzia laki mbili (200,000) na kuendelea.
 
Zachaja,
Mimi nina Toyota ISIS ya 2008, 1800cc ambayo inakuja karibuni. Hivi gharama za bandari na shipping line zinaweza kuwa kama shilingi ngapi?
 
Zachaja,
Mimi nina Toyota ISIS ya 2008, 1800cc ambayo inakuja karibuni. Hivi gharama za bandari na shipping line zinaweza kuwa kama shilingi ngapi?
A: Gharama za bandari utalipa kiasi kisichozidi;
1. Handling plus Corridor Levy $112.00
2. Wharfage $51.00

B: Gharama za Shipping Line kiasi kisichozidi $90.00

Karibu Ofisini kwetu mkuu utupatie kazi.

Wasiliana nasi;
S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD
 
Mkuu ushuru wa scania mende ( 8x4 Rigid 26 to 32 tonnes) inategemea ni mwaka gani, mfano scania mende ya mwaka 2000 ushuru ni $18,524.75 (tsh.42,412,407.69) na mende ya mwaka 1997 ushuru ni $15,884.48 (tsh. 36,445,902.39) hii ni kama inavyoonyesha kwenye TRA calculator.
Samahani mkuu

hiyo tra calculator inakuaje?

natamani kifahamu iyo formular ili niitumie kujitathmini kama nitaweza kumudu gharama za gari ninayotaka kugiza kupitia befoward. Tafadhali nisaidie
 
Samahani mkuu

hiyo tra calculator inakuaje?

natamani kifahamu iyo formular ili niitumie kujitathmini kama nitaweza kumudu gharama za gari ninayotaka kugiza kupitia befoward. Tafadhali nisaidie
Kupitia link hii Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System unaweza kujua kiasi cha jumla ya kodi unayopaswa kulipa kabla gari halijaingia nchini. Ukifungua hiyo link unachagua MAKE (mtengenezaji wa hiyo gari mfano Toyota), unachagua MODEL & BODY mfano Harrier, unachagua YEAR OF MANUFACTURE (mwaka wa gari kutengenezwa) mfano 2002, unachagua COUNTRY OF ORIGIN (nchi gari ilikotengenezwa) mfano Japan, unachagua FUEL TYPE (aina ya mafuta gari inayotumia) mfano Petrol, pia unachagua ENGINE (ukubwa wa engine ya gari) mfano 2001-2500cc. Mwisho unabonyeza CALCULATE utapata jumla ya kodi utakayopaswa kulipa katika Dollar na katika shillingi, ingawa katika shillingi, kiasi kitakua kinabadilika badilika kutegemeana na kupanda au kushuka kwa Dollar dhidi ya shillingi.

Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System

Pia mkuu ni vema ukajua gharama za bandari na wakala wa meli (Shipping Line agent), ambazo ni kama ifuatavyo;
1. Gharama za wakala wa meli (shipping line), hutegemea ujazo wa gari CBM (Cubic Measurement yaani Urefu x Upana x Urefu )
2. Gharama za bandari;
a). Handling charges, ambayo rate yake ni $7 plus VAT kwa CBM moja mfano Toyota IST ina CBM 10.12, kwa hiyo handling charges: (10.12 x $7) + VAT = $83.59
b). Corridor Levy, ambayo rate yake ni $0.3 plus VAT per CBM, mfano kwa IST inakua: (10.12 x $0.3) + VAT =$3.59
c). Wharfage charges, ambayo kwa sasa TRA wanaikusanya kwa niaba ya Bandari, rate ya wharfage ni 1.6% ya C.I.F value plus VAT. mfano Toyota IST yenye C.I.F $ 2,235, wharfage charges: ($2,235 X 1.6%) + VAT =$42.20.
3. Mwisho mkuu ni gharama za uwakala (agency fee) inaanzia laki mbili (200,000) na kuendelea, kutegemea na ukubwa wa mzigo na pia thamani.
Kwa huduma ya Uwakala utawasiliana nasi;

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbour View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD

Karibuni Sana wana-JamiiForums.
 
Kama mtu umeagiza labda simu au computer toka nje kwa njia ya ndege kiasi gani hapo mkuu paka kuuchukua mzigo wako naomba unifafanulie
 
Mkuu kwa mikoani unaweza kutupakilia mizigo yetu ktk malori kwa mfano salum trnsprt tukileta mizigo kwa njia yenu
 
Mkuu nimeshachkua namba zenu
Kwa kweli mtanirahisishia saaana kazi manake huwa napitishia mizigo mara kwa mara kwa agent wa ZNZ inachkua muda saaana kunifikia na gharama zao zipo juu
 
Mkuu nimeshachkua namba zenu
Kwa kweli mtanirahisishia saaana kazi manake huwa napitishia mizigo mara kwa mara kwa agent wa ZNZ inachkua muda saaana kunifikia na gharama zao zipo juu
Karibu sana mkuu, tunafanya kazi kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri.
 
Mkuu karibu utupe kazi ya ku-clear gari yako tunafanya kazi kwa ufanisi, haraka na kwa bei nzuri, gharama zetu (agency fee) tutakutoza shillingi laki mbili tu (200,000).
Ili mzigo usipate gharama za storage utatakiwa utukabidhi nakala (copy) za document za mzigo husika siku saba (7) kabla ya gari kuwasili bandarini. Document hizo ni Bill of Lading, Invoice, packing list na cheti cha ukaguzi (motor vehicle inspection certificate). Hii itasaidia kujua gharama za kodi/ushuru (as per TRA calculator), gharama za bandari (handling charges) na pia gharama za wakala wa meli (shipping line).
Karibu sana mkuu.
Mkuu unaposema hizo taarifa itakusaidia kujua gharama za kodi as per TRA Calculator....kivipi wakati TRA Calculator hairuhusu wewe kuingiza moja ya taarifa hapo juu yaani gharama Halisi za gari(Invoice) ila ni taarifa nyingine tuu.
 
Ni kweli mkuu, lakini invoice value inatusaidia kujua ushuru wa gati ( wharfage ), pia itatusaidia kulinganisha CIF value (gharama ya gari + bima + usafiri ) ya kwenye TRA calculator na ya kwenye invoice, hivyo kumshauri mteja apate invoice ilio sawa au chini ya TRA CIF value. Kwa mfano, IST ya 2005 mteja ameleta invoice ya Dollar 3,144 lakini kwenye TRA calculator ni Dollar 1,789, kwa hiyo mteja atashauriwa aombe invoice nyingine "for customs purpose" ambayo itakua chini kidogo ya $1,789.
 
Back
Top Bottom