Freight Clearing and Forwarding Services

Mbona hili ni kama tangazo la biashara?, mlipiage matangazo maana vyuma vimekaza
hahaha...!! mkuu Jamii forums ni zaidi kupata habari, elimu na burudani, lakini pia inatusaidia sisi wajasiliamali wadogo kujitangaza na kutangaza shughuli zetu.
 
"TBA" maana yake ni "To Be Advised" yaani taaarifa(datails) za meli husika utajulishwa baadae. Kifupi ni kwamba wako kwenye mchakato wa kutafuta meli ya kusafirisha gari yako.
Ingawa attachment inaonyesha tayari gari imeshapakiwa melini, labda umefichwa taarifa za meli huenda hujakamilisha malipo yao.
 

Ya kampuni au yanyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nkihitaji hii mashine ya kufumia mazulia (hand tufted gun) kutoka china itakuwa bei gani mpaka niiweke mikononi mwangu???View attachment 856482

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kwanza jaribu kutembelea Alibaba link ya bidhaa hii iko hapa chini, wasiliana na supplier ili umpe specification za hii machine. Pia muombe bei Cost & Freight (CFR) mpaka Dar es Salaam-Tanzania by Air maana uzito wake ni mdogo so kwa Air itakua more economical ukilinganisha kwa njia ya maji..

Link: Fine Textured High-end Hand Tufting Gun For Carpet - Buy Tufting Gun For Carpet,Hand Tufting Gun For Carpet,Gun For Carpet Product on Alibaba.com
 
iyo namba moja ishashusha na kuondoka ilishusha gari 1400 kuna nyingine imeingia leo itashusha gari 1771
 
Mcheck Mwl.RCT atakusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi kuifikisha Dar hii machine ni US $460

Kwa taratibu za manunuzi soma hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

Mawasiliano iwapo utahitaji kulipia: Whatsapp 0784 496 856

Karibu
 
Zachaja hawa jamaa wanasema gari yangu imefeli ukaguzi kwa hiyo wanaitengeneza itakuwa tayari tar 21 September, ni kweli magari yanayokuja huku yanaweza kufeli ukaguzi ?
 
Zachaja hawa jamaa wanasema gari yangu imefeli ukaguzi kwa hiyo wanaitengeneza itakuwa tayari tar 21 September, ni kweli magari yanayokuja huku yanaweza kufeli ukaguzi ?
Ni kweli kabisa mkuu. Kimsingi kwa sheria ya nchi yetu ya viwango, inataka kabla gari halijasafirishwa kutoka (pre-shipment) Japan linapaswa kukaguliwa na mawakala wa TBS walioko Japan na pindi linapokizi viwango vya ubora vya nchi yetu hupewa cheti cha ukaguzi (Motor vehicle Inspection Report) hivyo kua tayari kwa kusafirishwa kuja nchini. Pia pindi linapo feli ukaguzi hurudishwa ili likafanyiwe marekebisho yaliyoainishwa. Utaratibu huu ni mzuri sana maana hutusaidia kupata magari mtumba yenye ubora. Kwa hiyo mkuu vuta subira mpaka hiyo tarehe ili upate lenye viwango. Nime-attach mfano wa Motor vehicle Inspection Report.
 

Attachments

Safi sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…