House4Sale Fremu 12 na vyumba 11 vinauzwa mil 150 Kinyerezi Kifuru

House4Sale Fremu 12 na vyumba 11 vinauzwa mil 150 Kinyerezi Kifuru

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
-Fremu zipo katika mfumo wa ghorofa chini na juu,ziko 12 zinaface barabara na baadhi zina watu tayari (kupangisha fremu moja ni 70 kwa mwezi)

-Nyuma ya fremu kuna vyumba vya kupangisha chumba na sebule partition 5 na kimoja master kinajitegemea ( bei ya kupangisha chumba na sebule ni elfu 80..ambapo kuna pair 5 za chumba na sebule)

-Ukubwa wa eneo ni square meter 900 pamepimwa tayari lakini hakuna hati

- Ni sehemu iliyochangamka na kuzungukwa na makazi ya watu

-Ni takribani m 800 kutoka barabara ya lami ya Kinyerezi to Mbezi mwisho

-Huduma muhimu zipo ( umeme na maji)...hakuna kushare meter

-Eneo ni Kinyerezi Kifuru

Bei: mil 150 (maongezi kidogo yapo)

Mawasiliano: 0765494845

Note; nyumba ni uwekezaji usiokua na risk kubwa na faida yake ni ya muda mrefu...

Karibu sana

IMG-20210218-WA0046.jpeg
IMG-20210218-WA0047.jpeg
IMG-20210218-WA0032.jpeg
IMG-20210218-WA0035.jpeg
IMG-20210218-WA0041.jpeg
IMG-20210218-WA0036.jpeg
IMG-20210218-WA0026.jpeg
IMG-20210218-WA0040.jpeg
IMG-20210218-WA0043.jpeg
IMG-20210218-WA0027.jpeg
 
Ila madalali
Shida nini mkuu? au unahisi tumeongeza bei? ...hakuna anaeongeza bei maana at the end of the day negotiation unafanya wewe na mwenye nyumba .. pia hio bei iko reasonable kabisa na inareflect value ya hio property kwa mtu anaejua ujenzi atanielewa vizuri.

Hio slab ya ghorofa tu mkuu cost yake ni heavy...fremu 12 na vyumba vya kupangisha pair 5 ni asset ya kutosha kabisa kwa bei ya 150 m

Msiwe mnatengeneza taswira mbaya kwa madalali sio wote wako hivyo mkuu
 
"Pamepimwa ila hapana hati" Fafanua pamepimwa na nani?
 
Maeneo mengi ya Dsm yamefanyiwa urasimishaji( formalization) ambapo makampuni binafsi ya survey hupewa kibali na serikali kufanya issue ya kurasimisha kwa kupima na kuweka beacon kwenye makazi.

suala hili hufanywa kwa eneo lote ambapo wananchi (wenye uhitaji) huwa wanachangia kiasi flani then kampuni inafanya zoezi

ila baada ya kurasimisha suala la hati mara nyingi huwa ni la mtu mmoja mmoja kufatilia ndio maana maeneo mengi ya Dsm yamepimwa ila hayana hati. Suala la hati lina mlolongo kidogo kwenye ufatiliaji hivyo wengi huwa wanakata tamaa
"Pamepimwa ila hapana hati" Fafanua pamepimwa na nani?
 
Cost wise kama umejiridhisha na mmiliki ni nzuri kununua property ambayo iko kwenye process ya kutoka kwa hati..maana ukinunua property hio utabadili jina juu kwa juu hivyo hati itatoka kwa jina lako pasipo kuwa na gharama kubwa

ila ukinunua property ambayo ina hati tayari ukitaka kubadili umiliki ( property transfer) utaingia cost nyinginyingi na kubwa zaidi utatakiwa ulipie TRA kitu wanaita capital gain tax ( ambayo ni 10% ya thamani ya nyumba)
Bila hati?? Ngumu kumeza!
 
Back
Top Bottom