Ngoja nikung'ate sikio mkuu!! Unajua watu wengi huwa na mashaka kwa property zisizo na hati kwa sababu wengine wanahisi huenda mmiliki alishachukua mkopo benki, na benki husika ndo inashikilia hiyo hati!! Na kwa investment kubwa kama hiyo watu ndo lazima wazidi kupata mashaka kwamba how come unafanya investment yote hiyo kwenye kiwanja ambacho hakina hati?! Wakijiuliza hivyo tu, wengine wata-conclude kwamba HAIWEZEKANI, lazima hati alikuwa nayo lakini ipo kwa debtors!!
No offense, ni hayo tu!!! Mshauri mmiliki afuatilie hati akitaka kuuza kwa urahisi.