Dalili ya kula za uso asubuhi na mapema! Mauzo memaCost wise kama umejiridhisha na mmiliki ni nzuri kununua property ambayo iko kwenye process ya kutoka kwa hati..maana ukinunua property hio utabadili jina juu kwa juu hivyo hati itatoka kwa jina lako pasipo kuwa na gharama kubwa
ila ukinunua property ambayo ina hati tayari ukitaka kubadili umiliki ( property transfer) utaingia cost nyinginyingi na kubwa zaidi utatakiwa ulipie TRA kitu wanaita capital gain tax ( ambayo ni 10% ya thamani ya nyumba)
Ngoja nikung'ate sikio mkuu!! Unajua watu wengi huwa na mashaka kwa property zisizo na hati kwa sababu wengine wanahisi huenda mmiliki alishachukua mkopo benki, na benki husika ndo inashikilia hiyo hati!! Na kwa investment kubwa kama hiyo watu ndo lazima wazidi kupata mashaka kwamba how come unafanya investment yote hiyo kwenye kiwanja ambacho hakina hati?! Wakijiuliza hivyo tu, wengine wata-conclude kwamba HAIWEZEKANI, lazima hati alikuwa nayo lakini ipo kwa debtors!!Cost wise kama umejiridhisha na mmiliki ni nzuri kununua property ambayo iko kwenye process ya kutoka kwa hati..maana ukinunua property hio utabadili jina juu kwa juu hivyo hati itatoka kwa jina lako pasipo kuwa na gharama kubwa
ila ukinunua property ambayo ina hati tayari ukitaka kubadili umiliki ( property transfer) utaingia cost nyinginyingi na kubwa zaidi utatakiwa ulipie TRA kitu wanaita capital gain tax ( ambayo ni 10% ya thamani ya nyumba)
Mkuu kama mtu anania ya kununua akienda ofisi ya ardhi hawezi kujua kama kiwanja kilipata hati au hakikupata?Ngoja nikung'ate sikio mkuu!! Unajua watu wengi huwa na mashaka kwa property zisizo na hati kwa sababu wengine wanahisi huenda mmiliki alishachukua mkopo benki, na benki husika ndo inashikilia hiyo hati!! Na kwa investment kubwa kama hiyo watu ndo lazima wazidi kupata mashaka kwamba how come unafanya investment yote hiyo kwenye kiwanja ambacho hakina hati?! Wakijiuliza hivyo tu, wengine wata-conclude kwamba HAIWEZEKANI, lazima hati alikuwa nayo lakini ipo kwa debtors!!
No offense, ni hayo tu!!! Mshauri mmiliki afuatilie hati akitaka kuuza kwa urahisi.
Dalali anapiga 10milKwenye kichwa cha uzi Bei mil 150 ndani ya uzi bei Mil 160 fanya kuedit utuwekee bei sahihi.
Unachokisema ni kweli kabisa mkuu,lakini kabla ya kununua tunashauri muhusika ajiridhishe na umiliki halali wa muuzajiNgoja nikung'ate sikio mkuu!! Unajua watu wengi huwa na mashaka kwa property zisizo na hati kwa sababu wengine wanahisi huenda mmiliki alishachukua mkopo benki, na benki husika ndo inashikilia hiyo hati!! Na kwa investment kubwa kama hiyo watu ndo lazima wazidi kupata mashaka kwamba how come unafanya investment yote hiyo kwenye kiwanja ambacho hakina hati?! Wakijiuliza hivyo tu, wengine wata-conclude kwamba HAIWEZEKANI, lazima hati alikuwa nayo lakini ipo kwa debtors!!
No offense, ni hayo tu!!! Mshauri mmiliki afuatilie hati akitaka kuuza kwa urahisi.
unapata mkuuMkuu kama mtu anania ya kununua akienda ofisi ya ardhi hawezi kujua kama kiwanja kilipata hati au hakikupata?
HahahahaWatu watasema tatizo rangi ya chama
Mi mwnyw nmepata mashaka,Ngoja nikung'ate sikio mkuu!! Unajua watu wengi huwa na mashaka kwa property zisizo na hati kwa sababu wengine wanahisi huenda mmiliki alishachukua mkopo benki, na benki husika ndo inashikilia hiyo hati!! Na kwa investment kubwa kama hiyo watu ndo lazima wazidi kupata mashaka kwamba how come unafanya investment yote hiyo kwenye kiwanja ambacho hakina hati?! Wakijiuliza hivyo tu, wengine wata-conclude kwamba HAIWEZEKANI, lazima hati alikuwa nayo lakini ipo kwa debtors!!
No offense, ni hayo tu!!! Mshauri mmiliki afuatilie hati akitaka kuuza kwa urahisi.
hongera sana mkuu kwa maelezo mazuri na ya kisomi.Cost wise kama umejiridhisha na mmiliki ni nzuri kununua property ambayo iko kwenye process ya kutoka kwa hati..maana ukinunua property hio utabadili jina juu kwa juu hivyo hati itatoka kwa jina lako pasipo kuwa na gharama kubwa
ila ukinunua property ambayo ina hati tayari ukitaka kubadili umiliki ( property transfer) utaingia cost nyinginyingi na kubwa zaidi utatakiwa ulipie TRA kitu wanaita capital gain tax ( ambayo ni 10% ya thamani ya nyumba)
hongera sana mkuu kwa maelezo mazuri na ya kisomi.
inaonesha ni jinsi gani hubahatishi kwenye fani yako
Nimeona jinsi unavyojitahidi kujibu maswali ki utalaamu ,Nami ntakutafuta nipo interested na maeneo ya Kinyerezi,Kifuru na hivi Ilala imekuwa Jiji la DSM ,huko mbeleni vitanisaidiaMi mwnyw nmepata mashaka,
Bei Ni ndogo mno kulinganisha na thaman ya asset.
Kuondoa hii shaka, atafute TU hati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona jinsi unavyojitahidi kujibu maswali ki utalaamu ,Nami ntakutafuta nipo interested na maeneo ya Kinyerezi,Kifuru na hivi Ilala imekuwa Jiji la DSM ,huko mbeleni vitanisaidia