mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
wakuu heshima kwenu. natafuta fremu dar isiyozidi shilingi 100000 kwa mwezi. iwe karibu na shule zaidi ya moja. kama ipo karibu na shule moja tutaelewana. aliye tayari ani pm. tusaidiane wajasiliamali