INAUZWA Fremu ya biashara inauzwa Arusha

INAUZWA Fremu ya biashara inauzwa Arusha

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Fremu ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kama inavyoonekana pichani inauzwa. Ipo Morombo sokoni, Arusha. Ukubwa mita kumi kwa tano (10x5). Bei shilingi milioni mbili na laki tatu (2,300,000). Ni eneo soko na ina hati miliki. Mawasiliano 0768734611 au WhatsApp 0786817145

1603032722924.png
 
Mkuu maeneo ya soko hati waipataje?

Nijuavyo mmliki wa fremu zote maeneo ya soko ni KATA wew ni km unaiendesha tu hiyo Frem.

Kwa bei hiyo bado iko juu coz eneo bado changa kibiashara ndo kwanza wanalijenga soko.
 
View attachment 1603920
Mkuu maeneo ya soko hati waipataje?

Nijuavyo mmliki wa fremu zote maeneo ya soko ni KATA wew ni km unaiendesha tu hiyo Frem.

Kwa bei hiyo bado iko juu coz eneo bado changa kibiashara ndo kwanza wanalijenga soko.
Eneo liko chini ya halmashauri. Tumepatiwa hati inayoonyesha namba ya plot na jina la mmiliki pamoja na barua kutoka halmashauri na baraza la ardhi la kata. Ni kweli usemavyo kwa maeneo mengi ni hivyo ila labda huku wameamua kuwa na utaratibu tofauti.
 
Back
Top Bottom