Fremu ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kama inavyoonekana pichani inauzwa. Ipo Morombo sokoni, Arusha. Ukubwa mita kumi kwa tano (10x5). Bei shilingi milioni mbili na laki tatu (2,300,000). Ni eneo soko na ina hati miliki. Mawasiliano 0768734611 au WhatsApp 0786817145
Eneo liko chini ya halmashauri. Tumepatiwa hati inayoonyesha namba ya plot na jina la mmiliki pamoja na barua kutoka halmashauri na baraza la ardhi la kata. Ni kweli usemavyo kwa maeneo mengi ni hivyo ila labda huku wameamua kuwa na utaratibu tofauti.