Fremu ya biashara Moshi mjini inapatikana

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari wandugu,

Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii..

FREMU IPO KARIBU NA SHELI YA PANONE , KWA KIUFUPI NA NI KATIKATI KABISA , FURSA ZA KIBIASHARA...........
Bei yake kwa mwezi ni 300,000 tu ...

Waweza wasiliana na mimi 0672701329..Kwa maelekezo zaidi....Kuiona....

(ku post picha no , ni vyema uje uione na ni bure kuja kuiona )

ASANTE.
 
NICHEKI UJE UIONE FREMUIPO KARIBU NA SHELI YA PANONEHAPA MOSHI MJINI
 
KARIBUNI WANDUGU FREMU BADO IPO
 
KARIBUNI WANDUGU FREMU BADO IPO
 
Fremu ina faa kwa ofisi.....kwa kuweka full official institution
20240713_161004.jpg
 
Attachments

  • 20240713_161029.mp4
    26.8 MB
Habari wandugu,

Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii..

FREMU IPO KARIBU NA SHELI YA PANONE , KWA KIUFUPI NA NI KATIKATI KABISA , FURSA ZA KIBIASHARA...........
Bei yake kwa mwezi ni 300,000 tu ...

Waweza wasiliana na mimi 0672701329..Kwa maelekezo zaidi....Kuiona....

(ku post picha no , ni vyema uje uione na ni bure kuja kuiona )

ASANTE.
fremu hii tayari imekwisha toka sokoni , means that imeisha pata mteja.............pia fremu nyingine zipo hapa moshi mjini, double roads , mbuyuni sokoni, n.k
 
Back
Top Bottom