Fremu ya biashara mwenge stand

Fremu ya biashara mwenge stand

amkawewe

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
2,021
Reaction score
528
Kuna ndugu anatafuta fremu ya biashara mwenge kuanzia mitaa ya sokoni mpaka stand ya mabasi
 
Mmmh. Kwani wateja mpaka hirizi? Quality products and services hazitoshi kuvuta wateja?
 
Kuna ndugu anatafuta fremu ya biashara mwenge kuanzia mitaa ya sokoni mpaka stand ya mabasi

Kuna ndugu yako niliwasiliana nae juzi kwa bahat mbaya nimepoteza namba yake.naomba anipigie kunafrem imepatikana afanye haraka mana itachukuliwa.
 
Back
Top Bottom