French Montana awapa shavu Ghetto kids toka U.G

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Msanii toka Marekani French Montana amewapa shavu watoto wenye vipaji vya kucheza ghetto kids kwa kuwafata hadi uganda na kuwaomba watokee kwenye video ya wimbo wake mpya uitwao "Unforgettable" aliomshirikisha Swae Lee toka kundi la Rae Sremmurd.

French Montana kasema aliwaona ghetto kids mara ya kwanza kupitia youtube wakati anasikiliza na kutazama nyimbo za legendary wa mziki afrika toka Algeria Cheb Hasni





 
Inabidi aachie mkwanja wa kuwatosha, kwasababu yeye anazo nyingi na watoto bado wanakula vumbi. Sio mbaya au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…