kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Msanii toka Marekani French Montana amewapa shavu watoto wenye vipaji vya kucheza ghetto kids kwa kuwafata hadi uganda na kuwaomba watokee kwenye video ya wimbo wake mpya uitwao "Unforgettable" aliomshirikisha Swae Lee toka kundi la Rae Sremmurd.
French Montana kasema aliwaona ghetto kids mara ya kwanza kupitia youtube wakati anasikiliza na kutazama nyimbo za legendary wa mziki afrika toka Algeria Cheb Hasni
French Montana kasema aliwaona ghetto kids mara ya kwanza kupitia youtube wakati anasikiliza na kutazama nyimbo za legendary wa mziki afrika toka Algeria Cheb Hasni