Frenkie de Jong hataki kwenda Man United kwa madai klabu hiyo haiendeshwi vizuri

Frenkie de Jong hataki kwenda Man United kwa madai klabu hiyo haiendeshwi vizuri

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Imedaiwa kuwa kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong hataki kuhamia Manchester United kwa kuwa haupendi Mji wa Manchester na anaamini klabu hiyo haiendeshwi vizuri.

Ilielezwa kuwa Man United ilikubali kuwa tayari kutoa Paundi Milioni 71.5 ili kumsajili lakini mchakato umekuwa mgumu kwa kuwa kuna mazungumzo ya mshahara wake ndiyo ikawa kikwazo.

Watu wa karibu na De Jong wamedai kuwa mchezaji huyo anaona bora aende Chelsea au Bayern Munich kama klabu yake itamlazimisha aondoke.

====================

Frenkie de Jong 'DOESN'T want to sign for Man United because he doesn't like Manchester or the club's erratic running'... and £71.5m star prefers Bayern Munich or CHELSEA if Barcelona force him out

Frenkie de Jong has no interest in joining Manchester United because he dislikes the city and believes the club is run erratically, a new report in Spain has claimed.

United reached a £71.5million agreement with Barcelona but issues surrounding a sum of £17m in deferred wages and bonuses owed to the midfielder has stalled any move.

Now, Spanish outlet Sport has claimed that De Jong has absolutely no interest in heading to Old Trafford this summer and would rather head to Chelsea should he be pushed out of Barcelona for a move to the Premier League.

De Jong does not want to leave Barcelona but the Catalan giants need to shift him from the wage bill in order to register their new signings - which include Robert Lewandowski, Raphinha, Franck Kessie and Andreas Christensen - with LaLiga.

Barcelona has made no secret of shopping De Jong around and he has been Manchester United's top target all summer, with club chiefs Richard Arnold and John Murtough recently spotted in the Spanish city trying to thrash out a deal.

But Sport's report claims that the player has zero interest in making the move to Manchester, a city he is not a fan of.

He is also said to hold real concerns over how United function, with the player's view said to be that it is run 'erratically' by management.

A third factor working against United is that they cannot offer him Champions League football next season having only managed to secure Europa League football prior to Ten Hag's arrival.
 
Naaende, nani anayemtaka sasa🤣🤣🤣
 
Huyu nae asituchanganye kwa sasa tunahitaji wachezaji wenye moyo na wale wenye nia ya kuipigania team kama bado kuna options nyingi zaidi ni bora kuangalia plan na kwenda na chaguo la pili kama kuna ugumu wa de jong kusain united
 
Luiz Van Gaal did all this, alimlisha sumu huyo dogo.
 
Back
Top Bottom