Ndg zangu mimi nahisi hizo ni mbinu tu za TBC za kutaka kuingiza mapato. kimsingi ni kwamba TBC2 haipatikani kwa njia rahisi ambazo tumezizoea unless uwe na hiko king`amuzi cha Star Times. otherwise itakubidi ununue dish lingine na ufanye search ya hizo frequncy nilizotoa. frequncy zipo horozontal.kwa wale ambao wana madish tayari then tafuta position ya kupata hizo frequency ili upate TBC2. TBC2 imeanzishwa purposely kwa ajili ya World Cup, kwamba mechi za world cup zitonyeshwa TBC2 only unless otherwise.TBC1 itatumika kwa vipindi vya kawaida na most of it kuonyesha kikao cha Bunge.