Frequncy za TBC 2 hizi hapa

Frequncy za TBC 2 hizi hapa

kwa wale waliokuwa wanahitaji frequency za TBC 2 hizi hapa
Intelsat 802ku-32.9 TBC1-11691-4000. TBC2-11178-3671

duh inaonekana kuangali TV bongo ni kazi sana!!mimi kwenye tv najua menu,setting......then nawatch tv haya ma-FREQUENCY hata siyajui.
 
A.aleykum

naomba msaada wenu mimi nipo wilaya ya nzega miezi michache nilikua napata chanel zote za hao wachina thrue satelite w2a na chanel ndio hizi:

Startimes TV on Eutelsat W2A at 10.0

tar 1 may nikaona wamezifunga wanataka ununue kadi.

mimi na dish futi 8 na decoder eurostar HD inatumia cam conax.

je nikinunua kadi yao nikaweka katika recever yangu itafanya kazi au?

bcoz star media wanatumia decoder zao thru antena ndogo.

asanteni
 
Wana JF hii kitu TBC2 sasa iko hewani tayari nimeanza kufurahia tangu jana ucku kupitia decorder ya Startimes/tbc.
 
Hakuna wachina walofanya makeke kuhakikisha wanaipata kirahisi tu?
 
kwa wale waliokuwa wanahitaji frequency za TBC 2 hizi hapa
Intelsat 802ku-32.9 TBC1-11691-4000. TBC2-11178-3671

Ufafanuzi ndugu Kivumah, frequency hizi zipo Vertical au Horizontal? Na je nikiongeza KU pale kwenye dishi langu lililo kwenye 64 degree haiwezi kushika nikiilaza ange 32.9? Na je haiko Scrambled?
 
duh inaonekana kuangali TV bongo ni kazi sana!!mimi kwenye tv najua menu,setting......then nawatch tv haya ma-FREQUENCY hata siyajui.

...umelenga, Mkuu! mi pia najionea maruwe ruwe tu! What happened to those Good Old day when you Just washa the Tivii and enjoy??

Ufafanuzi ndugu Kivumah, frequency hizi zipo Vertical au Horizontal? Na je nikiongeza KU pale kwenye dishi langu lililo kwenye 64 degree haiwezi kushika nikiilaza ange 32.9? Na je haiko Scrambled?

....Yale Niliyosema! Mkuu Kimokole, Unaangalia Tivii ama Unataka kurusha roketi kwenda mwezini??? Again, whatever happened to..bla bla bla???
 
Ndg zangu mimi nahisi hizo ni mbinu tu za TBC za kutaka kuingiza mapato. kimsingi ni kwamba TBC2 haipatikani kwa njia rahisi ambazo tumezizoea unless uwe na hiko king`amuzi cha Star Times. otherwise itakubidi ununue dish lingine na ufanye search ya hizo frequncy nilizotoa. frequncy zipo horozontal.kwa wale ambao wana madish tayari then tafuta position ya kupata hizo frequency ili upate TBC2. TBC2 imeanzishwa purposely kwa ajili ya World Cup, kwamba mechi za world cup zitonyeshwa TBC2 only unless otherwise.TBC1 itatumika kwa vipindi vya kawaida na most of it kuonyesha kikao cha Bunge.
 
Dah! haya mambo magumu sana yaani sie wengine hatuelewi tunaona chenga chenga hatujawaona mafundi wa TBC
sasa hatujui lakufanya zaidi ya kutafuta baa ya kwenda kuangalia mpira tu
 
Ndg zangu mimi nahisi hizo ni mbinu tu za TBC za kutaka kuingiza mapato. kimsingi ni kwamba TBC2 haipatikani kwa njia rahisi ambazo tumezizoea unless uwe na hiko king`amuzi cha Star Times. otherwise itakubidi ununue dish lingine na ufanye search ya hizo frequncy nilizotoa. frequncy zipo horozontal.kwa wale ambao wana madish tayari then tafuta position ya kupata hizo frequency ili upate TBC2. TBC2 imeanzishwa purposely kwa ajili ya World Cup, kwamba mechi za world cup zitonyeshwa TBC2 only unless otherwise.TBC1 itatumika kwa vipindi vya kawaida na most of it kuonyesha kikao cha Bunge.

Basi kazi ipo bwana Kivumah, ila ngoja nitajaribu kufunga kale kadishi kadogo ka KU nione kama nitazipata. Yaani TBC sasa ni kibiashara zaidi mtoto wa mlalahoi mie kwishnei....
 
dear friends, from where i can buy the original stb and card for the startimes tv package?
regards-george
 
Hivi King'amuzi cha Star Times si bidhaa ya kichina? Hakuna mbinu ya kuchakachua kuongezea Channels kama ilivyo kwa vingine?
 
Ipo tafuta thread ya startime utaiona.
 
Back
Top Bottom