Fresh air, Nchimbi kaleta dhamira mpya ya CCM baada ya kubanwa na mabeberu?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,777
Reaction score
2,392
Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi.
Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa?
At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
 
Panya aka Yuda .Hapa washaona hali ni mbaya wanakuja na pozeo la kuonesha haki inakuja
 
Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi.
Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa?
At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
Mpaka siku 30 ziishe tutasikia mengi.
Ukiona paka kakumbatia amani panya akipita ujue kuna jambo.
1784962961665.png
 
Back
Top Bottom