Fresh, Hot, Delicious

Fresh, Hot, Delicious

Nyamtala Kyono

Senior Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
163
Reaction score
34
Naomba kiswahili sanifu cha maneno haya
Fresh
Hot
Delicious

Angalizo:

Tumia neno moja tu kutoa maana (usitumie neno zaidi ya moja), usitoe maelezo
 
yaani unaomba msaada na unatoa masharti!! . . .
 
yaani unaomba msaada na unatoa masharti!! . . .
wewe kichwa maji nini? hii ni discussion sio ******...hii sio take it or take it situation

Halafu la maana uliloona la kusema ni hilo tu?
 
Back
Top Bottom