Fridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake

Fridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake

The Industry

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
120
Reaction score
41
Fridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake bei ni laki 4.5 bado mpya kabisa.
IMG_20190418_093611.jpeg
 
Ungenipa hiyo tenda nikufanyie kazi kwa jinsi ulivyotangaza utaambiwa laki moja na nusu.

Istoshe ndani ina kutu maana hujaweka kapicha ka ndani yake
 
Ungepiga picha na ndani tuone kama bado nzima, nje unaweza kuipiga hata rangi
 
Ambaye yako serious anaweza kuja kuiona na uhakika na hii mali haina tatizo lolote
Ungenipa hiyo tenda nikufanyie kazi kwa jinsi ulivyotangaza utaambiwa laki moja na nusu.

Istoshe ndani ina kutu maana hujaweka kapicha ka ndani yake
 
Ungepiga picha na ndani tuone kama bado nzima, nje unaweza kuipiga hata rangi
Kama unajua rangi za kupiga ungekuwa umeshagundua hiyo ni rangi yake original mkuu picha za ndani ntazirusha soon
 
Mkuu The Industry, huu mzigo bado upo?! Kama bado upo, mimi ni serious buyer lakini ningependa kufahamu machache kama vile uwezo wake wa kugandisha na energy consumption.
 
Back
Top Bottom