INAUZWA Fridge Hisense ENERGY used

INAUZWA Fridge Hisense ENERGY used

PhotoGrid_Plus_1601988670838.jpeg
 
.
 
Attachments

  • PhotoGrid_Plus_1601988670838.jpeg
    PhotoGrid_Plus_1601988670838.jpeg
    39 KB · Views: 9
  • IMG_20201001_124826.jpeg
    IMG_20201001_124826.jpeg
    49.1 KB · Views: 9
  • IMG_20201001_113245~3.jpeg
    IMG_20201001_113245~3.jpeg
    67.2 KB · Views: 10
Mara nyingi ukiona mtu anapozea juisi kwenye friza, ujue kule juu kwenye friji hakuna kitu!
 
Mara nyingi ukiona mtu anapozea juisi kwenye friza, ujue kule juu kwenye friji hakuna kitu!
Aisee. Naona linatengeneza barafu kwenye freezer wakati fridge zingine huwezi ona hizo barafu

Alafu kwa hiyo bei ya laki 7 si unanunua fridge nzuri tu ya LG ama Samsung.

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kitu usichokijua.chini ndio freezer,hivyo ni vyakula vimeganda na si Juice
Mara nyingi ukiona mtu anapozea juisi kwenye friza, ujue kule juu kwenye friji hakuna kitu!
 
Mkuu..chukua 300k faster tumalize biashara asubuhi hii.
 
Back
Top Bottom