Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofa nzuri sana hii. Njoo nikupe hili langu lita 320 limetumiaka mwezi mmojaChukua 500k mkuu
Aina gani?! Weka picha basi, ya ndani na nje!! Itakuwa vizuri zaidi picha ikionesha label ya energy consumption.Ofa nzuri sana hii. Njoo nikupe hili langu lita 320 limetumiaka mwezi mmoja
Jipya Bei gani kwani?Aina ya Fridge ni Hisense
Lita 271
Linatumia umeme kiasi kidogo sana
Limetumika miezi miwili
Halina tatizo lolote
Bei ni 700k
Lipo Mbezi ya Kimara
0683525610
Aisee. Naona linatengeneza barafu kwenye freezer wakati fridge zingine huwezi ona hizo barafuMara nyingi ukiona mtu anapozea juisi kwenye friza, ujue kule juu kwenye friji hakuna kitu!
Akijibu hili nitagJipya Bei gani kwani?
Mkuu..chukua 300k faster tumalize biashara asubuhi hii.