Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
Natumia freezer aina ya boss kugandishia ice cream kwa sasa nataka kuiuza ninunue kubwa Zaid hizi aina ya Samsung freezer zawez a kua Bora zaidi ya BOSS?Bidhaa za sasa za boss ni feki mnoo ..Ukija kwa Mr Uk , Aborder hawa bidhaa zao hazina viwango kabisa ...yan havina Manisha marefu vinawai kufa