Fridge la mtumba v\s la dukani

Bidhaa za sasa za boss ni feki mnoo ..Ukija kwa Mr Uk , Aborder hawa bidhaa zao hazina viwango kabisa ...yan havina Manisha marefu vinawai kufa
Natumia freezer aina ya boss kugandishia ice cream kwa sasa nataka kuiuza ninunue kubwa Zaid hizi aina ya Samsung freezer zawez a kua Bora zaidi ya BOSS?
 
Friji jipya linadumu sana,Mimi nilinunua friji aina ya Boss huu mwaka wa 6 hakuna cha fundi wala nini!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nami natumia hyo boss kugandishia ice cream nataka kuiuza ninunue kubwa yake ila Kuna mdau hapo juu kanitisha sana kasema kwa sasa fridge zao ni fake sasa nipo njiapanda.
 
Unaposema mtumba una maana ni kitu kilichotumika na kinakaribia kuisha na ukisema dukani ni kitu kipya hakijawahi kutumika hivyo kina maisha marefu sana japo hatujui kama ni fake au Og ..

Mkuu nunua dukani ukisikia mtua anasema cha mtumba ndo kizuri ana matatizo huyo au mfuko wake hauko sawa.
 
Natumia freezer aina ya boss kugandishia ice cream kwa sasa nataka kuiuza ninunue kubwa Zaid hizi aina ya Samsung freezer zawez a kua Bora zaidi ya BOSS?
Yes Samsung ni nzuri zaidi ya Boss ila ni bei ghali .
 
Natumia freezer aina ya boss kugandishia ice cream kwa sasa nataka kuiuza ninunue kubwa Zaid hizi aina ya Samsung freezer zawez a kua Bora zaidi ya BOSS?
Mimi pia Nina boss freezer jipya nagandishia ice cream . Ila naona linachukua muda mrefu kugandisha ice cream .Wewe lako ice cream ili zigande zinakaa kwa siku ngapi ili zigande ??
 
Natumia freezer aina ya boss kugandishia ice cream kwa sasa nataka kuiuza ninunue kubwa Zaid hizi aina ya Samsung freezer zawez a kua Bora zaidi ya BOSS?
Unaiuzaje mzee na ni ya ukubwa gani, nina shida kama yako pengine hyo inaweza ikanifaa.
 
Mimi pia Nina boss freezer jipya nagandishia ice cream . Ila naona linachukua muda mrefu kugandisha ice cream .Wewe lako ice cream ili zigande zinakaa kwa siku ngapi ili zigande ??
Zina kaa siku 3 yan siku ya tatu ni jiwe unapeleka sokoni kuuza.
 
Mkuu hiyo Von ina ukubwa gani na unaiuzaje (kwani waheshimiwa hapa nitakuwa nanunua mtumba?)
Kutokana na janga la koroni hizi devices zimepanda sana, von yangu ni lita 200 nilinunua mwaka juzi kwa laki sita, nimeenda juzi inauzwa laki saba na nusu,
 
Kwa Mimi friji/ friza la mtumba Ni bora.nili nunua toka mwaka 2000 Hadi leo zinapiga kazi Tena kea Kasi ileile Ni utunzaji tu na nimewahi weka gesi mara moja tu mwaka Jana Machi.
 
Niliyonayo ni von hotpot biashara imekuwa so imekuwa ndogo
Von ni nzuri Sana ninayo yangu huu mwaka wa 6 inapiga kazi vyema na ndani ya masaa 12 inagandisha barafu na pia Nina home base hii ni team utoporo 24 hrs ndo inagandisha barafu nayo ni 3yrs now ndo vitendea kazi vyangu mama yoyoyooo anaingiza nauli za watt shule na mboga
 
Babu nimenunua homebase inakama mwezi sasa nayo inajitahidi kwakweli, naiwasha kwa masaa manne tu kwa siku na vinywaji vinabaridi balaa mpk mteja anaridhika., von nimeiweka nyumbani ilikuwa ndogo kama lita 200, naitafutia goli nimfungulie waifu na yeye atafute hela ya kujimwambafai.
 
Hizi hisense zinaingia hili group?
 
Tatizo letu wa bongo tunababaika na mabrand sana kuna watu wana mafriji ya boss, mr uk, sijui hisense wanadumu nayo miaka kadhaa sasa ila wengine sijui ma samsung ,lg walishawafia sana

Kikubwa nunua kipya ni kizuri achana na mabrand utatishwa sana maana watu ni washabiki wa brand mra huyu samsung ,mara lg ,
 
Hizi hisense zinaingia hili group?
Hisense zipo za aina mbili hapa Tanzania zipo zenye Invetors na zisizo na invetors.So unapoenda dukani uliza utaonyeshwa zote aina mbili.Zenye invetors ,zinaanzaia Laki nane na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…