Wakuu nina mzigo wa fridges nzuri sana za boss hapa, nautoa nataka uishe chap sana ili nilete mzigo mwingine, hivyo basi nimeweka punguzo kubwa sana la bei.
Ukinunua kwetu unapata Usafiri bure, Pasi ya umeme bure, Jagi la umeme, stand ya fridge bure kabisa.
NB: Malipo ni baada ya delivery. Zinatumia unit 0.7 ya umeme kwa siku.