INAUZWA Fridge za Mtumba Zanzibar Original Brand Samsung, Whirlpool na LG

INAUZWA Fridge za Mtumba Zanzibar Original Brand Samsung, Whirlpool na LG

vidy_tz

Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
42
Reaction score
152
Frige za mtumba zinapatikana Zanzibar Kisauni AirPort Karibu na Mombasa, kwa Wateja wa DSM unalipa 50% mzigo wako unaagiziwa mzigo ukifika unamalzia 50% iliyobaki.

DSM fridge mbili zimefika tayari ziliagizwa mteja akapata dharura zote ni samsung 253 Lt unaweza fika kuja kuziona ziko mabibo bei yake ni 450k

Mawasiliano njoo Whatsap 0718604980 kwa picha zaidi na maelekezo
4b5065fd-b3ca-4ccc-b7a5-b2c5c7dee7a5.jpg

928629c6-6207-4090-bfe1-b2c81cbf3220.jpg

60cd1153-972e-4eeb-b940-a786b118b769.jpg

2c9f5bb1-7cbc-4715-bc3d-e3d063ea4f9d.jpg

f137c4f0-2451-4787-905e-a80430827137.jpg

7623b229-6976-4544-8290-2e9bcef69076.jpg

fa15fc46-74bf-4bfb-8493-2180dfb8320d.jpg

d673ad85-75f0-4b7e-947c-9b6622ec1354.jpg

60b5915a-2917-426e-938e-e4facf1b19c0.jpg
 
Hizo zilizopo dar picha zake ni zipi?
 
Tahadhari

Usilipe hela kabla hujaupata mzigo wengi hutumia Znz kutapeli watu. Ukishatuma hiyo hela utaipata fridge
 
Nipo Mwanza mkuu
Kuwa makini kuna matapeli kuna uzi unatembea kuhusu watu wa aina hii,ukituma hio nusu wanafunga simu hutawapata tena
Huyo jamaa hapo pichani nae ndie dili zake na hio page yake Instagram kailipia kabisa ipo SPONSORED,ili aweze kutapeli watu wengi zaidi,ukituma pesa eti wakutumie mzigo,wanapotea watu waaminifu duniani siku hizi ni nadra sana kuwapata
Serikali ianze na huyu awe mfano kwa wengine wenye matendo kama haya
 
Attachments

  • Screenshot_20200624-145029_Instagram.jpg
    Screenshot_20200624-145029_Instagram.jpg
    82.2 KB · Views: 10
Tahadhari

Usilipe hela kabla hujaupata mzigo wengi hutumia Znz kutapeli watu. Ukishatuma hiyo hela utaipata fridge
Hata mimi nimewataadharisha watu wasitapeliwe.
Huyo jamaa hapo pichani nae anatangaza hivo hivo kumbe ni matapeli.
Utasikia ooh, tuma pesa nusu ya mzigo alafu tutakutumia kwa ndege.kumbe hataa duka hawana
 
Attachments

  • Screenshot_20200624-145029_Instagram.jpg
    Screenshot_20200624-145029_Instagram.jpg
    82.2 KB · Views: 8
Frige za mtumba zinapatikana Zanzibar Kisauni AirPort Karibu na Mombasa, kwa Wateja wa DSM unalipa 50% mzigo wako unaagiziwa mzigo ukifika unamalzia 50% iliyobaki.

DSM fridge mbili zimefika tayari ziliagizwa mteja akapata dharura zote ni samsung 253 Lt unaweza fika kuja kuziona ziko mabibo bei yake ni 450k

Mawasiliano njoo Whatsap 0718604980 kwa picha zaidi na maelekezoView attachment 1485777
View attachment 1485778
View attachment 1485779
View attachment 1485780
View attachment 1485781
View attachment 1485782
View attachment 1485783
View attachment 1485784
View attachment 1485785
Usije ukawa tapeli tu,ukakimbia na pesa za watu, maana kuna siku utazitoa tu,watu waaminifu duniani hakuna siku hizi
 
Ila amesema anaetaka kwend kuziona alzonazo amtafute aende Mabibo zpo
Kaone lipa mzigo chukua ondoka nao ila usitume pesa eti utumiwe.hutampata tena hewani ukishatuma,Watu waaminifu hakuna
 
Tahadhari ni muhimu kila tapeli huwa anamnyonge wake.

Though mleta mada ana nia nzuri tu kuna wengine wanaweza jichomeka humu wakapiga watu.
Mwanzo ukiongea nao ni wanajionesha waaminifu tuma pesa sasa kama utampata hewani.ni hatari
 
Back
Top Bottom