INAUZWA Fridge za Mtumba Zanzibar Original Brand Samsung, Whirlpool na LG

INAUZWA Fridge za Mtumba Zanzibar Original Brand Samsung, Whirlpool na LG

Tahadhari

Usilipe hela kabla hujaupata mzigo wengi hutumia Znz kutapeli watu. Ukishatuma hiyo hela utaipata fridge

Yeah ni kweli kabisa na wengi huwa wanatumia hyo njia kwasababu huona znz ni ngumu mtu kwnda kuanglia mzgo pia ndo maana wengi ukiwauliza location Znz kusudi ukaanglie mzigo wanakukwepa mwsho wa siku wanapotea , ila kama ww unahitaj kufika ofisin Znz Njoo Kisauni Airport karibu na mombasa then piga namba hiyo hapo juu utapelekwa moja kwa moja mpaka ofisini
 
Usije ukawa tapeli tu,ukakimbia na pesa za watu, maana kuna siku utazitoa tu,watu waaminifu duniani hakuna siku hizi

[emoji16] ni kweli mkuu Uaminifu ni hafifu sana kwa dunia ya sasa hvi, lakini huwa naamini kwnye kitu kimoja kuwa Hakuna jashonla mtu linaloenda Bure, utaiba lakini lazima utakuja kuzilipa pasipokutgmea
 
c220d722-9234-486a-a1ed-64daf7fd720e.jpg



American Freezer ndo linakua kama hilo hapo kwa wale wasioyajua, huwa milango yake inafunguka kama Kabati (side opening doors) upande mmoja kulia huwa ni fridge then left side ni Kugandisha.

Toleo zake huwa zinaanzia na ujazo wa Total of 253lt na kuendlea juu
 
Dunia kuwa kiganjani imewatengenezea watu fursa nyingi sana, hvy hvy imewarahisishia wezi kuwaibia wateja hasa biashara za mitandaoni
Ni hatari sana mkuu hivyo mnapofanya biashara mitandaoni jitahidini sana kuwa waaminifu na kuhakikisha watu wanafanya delivery nao ni waaminifu sana.

Teknolojia imerahsisha zaidi uhalifu kufanyika hasa wa kutapeli.
 
Wanaotoa tahadhari ktk uzi huu wote wako sahihi kabisa, me pia nakazia, kama hauna uwezo wa kufika moja kwa moja eneo la biashara ukalipa hela na kuondoka na mzigo achana kabisa na hiyo biashara. Hii haijalishi ndugu mjasiriamali ana nia njema ama mbaya!
 
Back
Top Bottom