Nimekutumia sms ya kukuomba unitumie pics whatsapp unakwama wapi mkuu? Au mpaka tupande boat tuje kuziona zenji kisha turudi makwetuMkoa gani unapatikana?
Nipo Mwanza mkuuMkoa gani unapatikana?
Tahadhari
Usilipe hela kabla hujaupata mzigo wengi hutumia Znz kutapeli watu. Ukishatuma hiyo hela utaipata fridge
Ila amesema anaetaka kwend kuziona alzonazo amtafute aende Mabibo zpo
Ukituma hela umeliwa
Anaetaka aende mabibo kuangalia zilzopo alipe apewe fridge
Kuwa makini kuna matapeli kuna uzi unatembea kuhusu watu wa aina hii,ukituma hio nusu wanafunga simu hutawapata tenaNipo Mwanza mkuu
ID ya mtu 1
Hata mimi nimewataadharisha watu wasitapeliwe.Tahadhari
Usilipe hela kabla hujaupata mzigo wengi hutumia Znz kutapeli watu. Ukishatuma hiyo hela utaipata fridge
Usije ukawa tapeli tu,ukakimbia na pesa za watu, maana kuna siku utazitoa tu,watu waaminifu duniani hakuna siku hiziFrige za mtumba zinapatikana Zanzibar Kisauni AirPort Karibu na Mombasa, kwa Wateja wa DSM unalipa 50% mzigo wako unaagiziwa mzigo ukifika unamalzia 50% iliyobaki.
DSM fridge mbili zimefika tayari ziliagizwa mteja akapata dharura zote ni samsung 253 Lt unaweza fika kuja kuziona ziko mabibo bei yake ni 450k
Mawasiliano njoo Whatsap 0718604980 kwa picha zaidi na maelekezoView attachment 1485777
View attachment 1485778
View attachment 1485779
View attachment 1485780
View attachment 1485781
View attachment 1485782
View attachment 1485783
View attachment 1485784
View attachment 1485785
Tahadhari ni muhimu kila tapeli huwa anamnyonge wake.Yani huku JF watu wanapenda kukariri[emoji23] ww kama una shida na frdge si uende huko aliko ukaangalie
Kaone lipa mzigo chukua ondoka nao ila usitume pesa eti utumiwe.hutampata tena hewani ukishatuma,Watu waaminifu hakunaIla amesema anaetaka kwend kuziona alzonazo amtafute aende Mabibo zpo
Mwanzo ukiongea nao ni wanajionesha waaminifu tuma pesa sasa kama utampata hewani.ni hatariTahadhari ni muhimu kila tapeli huwa anamnyonge wake.
Though mleta mada ana nia nzuri tu kuna wengine wanaweza jichomeka humu wakapiga watu.