Tahadhari
Usilipe hela kabla hujaupata mzigo wengi hutumia Znz kutapeli watu. Ukishatuma hiyo hela utaipata fridge
Usije ukawa tapeli tu,ukakimbia na pesa za watu, maana kuna siku utazitoa tu,watu waaminifu duniani hakuna siku hizi
Ni hatari sana mkuu hivyo mnapofanya biashara mitandaoni jitahidini sana kuwa waaminifu na kuhakikisha watu wanafanya delivery nao ni waaminifu sana.Dunia kuwa kiganjani imewatengenezea watu fursa nyingi sana, hvy hvy imewarahisishia wezi kuwaibia wateja hasa biashara za mitandaoni