Amini Mnyakulutanana
Member
- May 22, 2017
- 49
- 47
Tunamkumbuka sana yani.
Ndo kocha wako uyoHao Yanga bora wafungwe tu.
Yaani hilo minjino li LWANDAMINA silipendi kweli limekuja kutuletea mikosi tu pale jangwani
Singida 2 ngada fc 1
Usengiman, mwingine nimemsahau
Wamekutana na timu mbovuHawa singida wataleta ushindani msimu huu, wako vizuri