balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Manara yeye dili wenzie kawaharibu akili,,,,, wahenga fc.Tunahonga nini na mnasema hatuna pesa hali yetu ngumu au mmesahau...???Manara kawapa ulemavu wa akili [emoji23][emoji23] akisema Yanga kanunua mechi basi wote mnapiga kelele...Ndiooooooo na mnaogopa hata kuuliza rufaa yenu FIFA nasubiri ligi ianze nicheke anavyowaburuza.
Sent using Jamii Forums mobile app