Friend mechi Yanga vs Singida UNITED leo Taifa!

Tunahonga nini na mnasema hatuna pesa hali yetu ngumu au mmesahau...???Manara kawapa ulemavu wa akili [emoji23][emoji23] akisema Yanga kanunua mechi basi wote mnapiga kelele...Ndiooooooo na mnaogopa hata kuuliza rufaa yenu FIFA nasubiri ligi ianze nicheke anavyowaburuza.
Manara yeye dili wenzie kawaharibu akili,,,,, wahenga fc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda ambao Hans kakaa na timu yenye wachezaji wengi wa kigeni. Anastahili pongezi maana sasa tunaona Chemistry nzuri ya timu. Bado mapungufu madogo sana. Natumai kama mpira utachezeswa kwa haki hawa wahenga simba na yanga watapisha hapo juu.
 
Yule mchezaji wa Yanga aliyevaa jezi namba 9 kama bado hajapewa mkataba asipewe kabisa, hakuna mchezaji pale.
 
Ylu anaitwa Okoth....mnigeria amechezeshwa nafasi ambayo sio yake kanisa.
 
Kwa muda ambao Hans kakaa na timu yenye wachezaji wengi wa kigeni. Anastahili pongezi maana sasa tunaona Chemistry nzuri ya timu. Bado mapungufu madogo sana. Natumai kama mpira utachezeswa kwa haki hawa wahenga simba na yanga watapisha hapo juu.
Hamna llt pale,singida pumzi hawana km tulivyokuwaga ss,hlf na mzimu kukosa penalti babu kahamia nao singida
 
Kwa muda ambao Hans kakaa na timu yenye wachezaji wengi wa kigeni. Anastahili pongezi maana sasa tunaona Chemistry nzuri ya timu. Bado mapungufu madogo sana. Natumai kama mpira utachezeswa kwa haki hawa wahenga simba na yanga watapisha hapo juu.
Labda simba ila kwa Yanga,maji mtayaita mma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti yanga! Hawa ngada ambao zilikuwa zinapigwa gonga 30 bila kuuona mpira,sizani. Hii ilikuwa mechi ya kirafiki. Kamwe usilogwe kuamini eti sgd united hawana pumzi. Hilo swala litajulikana kwenye ligi. Bado credit inamwendea mnyama maana kwa mechi za majaribio walizo cheza wako fiti zaidi ya vyura.
 
Huwa mnaanza hivyohivyo na jamaa yenu
Screenshot_2017-08-05-19-40-36.png
huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom