Ubingwa walipewa na malinzi sasa ananyea debe afungwe Hata maishamkuu ndiyo mabigwa watetezi wa msimu ujao...
Utakuwa hujui mpira kocha anaweza kufukuzwa kwenye timu moja akaenda ingine akachukua kombe hilo jambo LA kawaida usikariri.Si mlisema Hans hajui? Tulieni sindano iingie vizuri.
Nyie mlitaka mpewe na kamati ya masaa 72 mkaenda kulia FifaUbingwa walipewa na malinzi sasa ananyea debe afungwe Hata maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiria wa FIFA unakuja na jahazi Manara atakupa update ya tarehe utakapofika.Ubingwa walipewa na malinzi sasa ananyea debe afungwe Hata maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu mbovu sana hii msimu huu mtashuka darajaNyie mlitaka mpewe na kamati ya masaa 72 mkaenda kulia Fifa
Ukisikia jina la okwi unakumbuka 5GSubiria wa FIFA unakuja na jahazi Manara atakupa update ya tarehe utakapofika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabingwa mara 3 mfululizo
Singida 2 ngada 3Ngapi ngapi hadi sasa
fresh mwambaSingida 2 ngada 3
Sasa Singida utd nayo timu? Unatia aibuHahahaaah, Simba wanaumia saaana! Kwani kila dua yao wanayoomba haipokelewi... Yanga inaumiza tu, hahahaaah! Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu!
7UP.......unaijua Ile team iko nafasi ya ngapi?