Friendly match: Simba sc vs African sports

WanaSimba wenzangu tukubali kwamba huyu Bwalya tulilizwa na Senzo anazidiwa na Mukoko mbali mnooo, siyo mpambanaji Uwanjani. Ana mpira ule ule aliokuwa nao Shiboub, mara elfu 1 tungeendelea na Shiboub kuliko huyu konokono Bwalya. Hana ubunifu wa kuisaidia timu, halafu nashangaa kocha anamwacha nje Kahata anamchezesha huyu Bwalya. Anyway mim binafsi sijamuelewa kabisa, wale mliomwelewa mnisamehe.
Kahata pole sana kwa masaibu unayopitia lkn wakat utaongea
 
Kwangu Mimi, shiboub alikuwa na umuhimu kuliko bwalya. Tatizo kubwa la bwalya Hana killing instincts, yaani anacheza Kama yuko mazoezini hatuko sharp, anageukia nyuma Kila wakati na Kila mpira anaoupata anataka kupaka rangi au kulazimisha kuucheza kwa mbwembwe

HUYU mchezaji anababisha timu yetu ikose kasi wakati wa kwenda mbele na ndiyo maana Kila Simba inapotaka kwenda mbele tunakuta wapinzani washakuwa wengi kwasababu yake

Lakini hili tatizo kocha anao uwezo wa kumbadili ili awe na pasi za haraka na kamwe chaguo lake la kwanza lisiwe kigeukia golini kwetu anapopata mpira

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kuna wachezaji huwa wanapata nafasi nyingi za kucheza ila performance zao wala si za kuridhisha (mfano ni huyo Bwalya), halafu kuna wengine wana uwezo wao halafu wanaozea benchi (mfano ni Kahata).

Halafu ukijaribu kushauri unasikia jitu linasema "usimwingilie kocha kwenye majukumu yake". Ukweli ni kwamba makocha nao ni binadamu na wana mapungufu yao, hivyo ni haki yao kukosolewa,kusahihishwa na kushauriwa. Kuna wakati wanachemsha sana.
 
Huyu kocha boya kabisa, sijawahi penda Falsafa yake acheze na Ndanda au Yanga mfumo wake ni ule uleee. Yaani timu haina ari wala mshawasha wa kupata matokeo uwanjani, ile tabia aliyoikataa Uchebe Mchezaji kutembea uwanjani imerejea kwa kasi ya ajabu. Hapana Bodi yetu mtuondoleee huyu kocha haraka kabla ya fedhea
 
Tukae tu kimya ase, machezaji mengi yameridhika kupita kiasi, yaani mchezaji anatembea uwanjani kabsaa, anapoteza mpira afu kukaba hataki, yaani michezajj mingi imekuwa mizigo haswa, hapana huyu kocha nop
 
Ila tukubali Leo African Sport walikuwa Bora wamekosa zaidi ya clear goals 4.
 
Back
Top Bottom