mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
SaiviUnawahi nini?Game saa ngapi na lini
HT 0-0
Kwangu Mimi, shiboub alikuwa na umuhimu kuliko bwalya. Tatizo kubwa la bwalya Hana killing instincts, yaani anacheza Kama yuko mazoezini hatuko sharp, anageukia nyuma Kila wakati na Kila mpira anaoupata anataka kupaka rangi au kulazimisha kuucheza kwa mbwembweWanaSimba wenzangu tukubali kwamba huyu Bwalya tulilizwa na Senzo anazidiwa na Mukoko mbali mnooo, siyo mpambanaji Uwanjani. Ana mpira ule ule aliokuwa nao Shiboub, mara elfu 1 tungeendelea na Shiboub kuliko huyu konokono Bwalya. Hana ubunifu wa kuisaidia timu, halafu nashangaa kocha anamwacha nje Kahata anamchezesha huyu Bwalya. Anyway mim binafsi sijamuelewa kabisa, wale mliomwelewa mnisamehe.
Kahata pole sana kwa masaibu unayopitia lkn wakat utaongea
Mfano nani kashushwa kiwango?Hatuna kocha kwakweli tuache masihara, yaani kila siku wachezaji wanashuka viwango
Hilo kila mpenda Simba sc analifahamu japo wenye meno wako kimya. Baadae wataanza kuingia uwanjani pekee yao huku sisi mashabiki tunaoumia tukisusia mechi za Simba .Hatuna kocha kwakweli tuache masihara, yaani kila siku wachezaji wanashuka viwango
Ni kwel, tukianza za kimataifa hatutashinda mechi hata mojaHatuna kocha kwakweli tuache masihara, yaani kila siku wachezaji wanashuka viwango
Tukae tu kimya ase, machezaji mengi yameridhika kupita kiasi, yaani mchezaji anatembea uwanjani kabsaa, anapoteza mpira afu kukaba hataki, yaani michezajj mingi imekuwa mizigo haswa, hapana huyu kocha nopHuyu kocha boya kabisa, sijawahi penda Falsafa yake acheze na Ndanda au Yanga mfumo wake ni ule uleee. Yaani timu haina ari wala mshawasha wa kupata matokeo uwanjani, ile tabia aliyoikataa Uchebe Mchezaji kutembea uwanjani imerejea kwa kasi ya ajabu. Hapana Bodi yetu mtuondoleee huyu kocha haraka kabla ya fedhea
Simba 0 African Sport 0 full timeUpdates...
Ila tukubali Leo African Sport walikuwa Bora wamekosa zaidi ya clear goals 4.Tukae tu kimya ase, machezaji mengi yameridhika kupita kiasi, yaani mchezaji anatembea uwanjani kabsaa, anapoteza mpira afu kukaba hataki, yaani michezajj mingi imekuwa mizigo haswa, hapana huyu kocha nop
Watakuja kukutukana bora ujifunze kunyamazaIla tukubali Leo African Sport walikuwa Bora wamekosa zaidi ya clear goals 4.