Kwann unasema hivyoKaribu rafiki ila kinywaji kimeishaView attachment 472774
Kwann unasema hivyo
Hahaaa nimekuelewa na hua nakuelewa vitu vyako girl.. Hebu kuya pm tubonge please.
......
Private message japokua unapajua ingia tupige story
Noo hapa mengine tutashindwa kuzungumza
Kweli mkuu ndo natoka shambani napanda milima nakushuka mitelemko hapa natamani nipaae naona tens Uzi unasema mtagi umpendae ndo njaa ikaongezeka Mara tatuJina tu laonyesha una njaa
Mkuu hapa kufika nyumbani bado sana maana bado km 11 ndo nifike nyumban sasa na huu uchomvu nine nikumbuke na kutag mtu itakuwa ngumu sanaHahaaa da umeua aisee pole kwa njaa.. Kula then mtag UNAYEMPENDA
Sasa ila ukipata wa kumtag we mtag kwa niaba yangu maana mpaka nifike nyumbani akili itakuwa imejaa uchovu wa kutosha nitaona unanisumbua unavyo nikumbushaDooooh nitakukumbusa basi usijali