Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo mazuri mkuu msalimie ShemejiSio mkubwa sana mm kiasi hicho.
Halafu kwann roho ikuume?
Bebe luv hebu nambie umri wakoSio mkubwa sana mm kiasi hicho.
Halafu kwann roho ikuume?
Sio mkubwa sana mm kiasi hicho.
Halafu kwann roho ikuume?
Bebe luv hebu nambie umri wako
Nisije kuwa napambana na wadogo zangu
Ndio yameanza kuchanua?Umri sio tatizo mkuu hata kama kanizidi au namzidi 5yrs poa tu
Usijali maombi tayar yameanzaYeah ndio yameanza, maombi yenu tu ili tufike mbali zaid
Kumbe hata umri haujulikani? [emoji15] [emoji15] huu utani sio mapenzi mubashara.Bebe luv hebu nambie umri wako
Nisije kuwa napambana na wadogo zangu
AminGod let our relationship live long & Forever
Hahaaaaa acha u hater mkuu ww ulishindwa kumuanza mwanzo city boyz tukaingia umebak kutoa macho. Anyway bado ninavuta pumzi nikitulia nitaanzisha kauzi ka marejeshoKumbe hata umri haujulikani? [emoji15] [emoji15] huu utani sio mapenzi mubashara.
Ebu taja na ww umri wako tujue usije kumbemenda uyo mtoto.yawezekana ww ni 30+ mwenzangu.kama ndivyo uyo dogo apishe njia wakubwa zake.
Hapo fresh bebBebe nina range hapa 23-25
[emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]Hataki watu waliojaliwaa. Anaumia