Friends Connect and love connect. Mtag umpendaye

Bebe luv hebu nambie umri wako
Nisije kuwa napambana na wadogo zangu
Kumbe hata umri haujulikani? [emoji15] [emoji15] huu utani sio mapenzi mubashara.

Ebu taja na ww umri wako tujue usije kumbemenda uyo mtoto.yawezekana ww ni 30+ mwenzangu.kama ndivyo uyo dogo apishe njia wakubwa zake.
 
Hahaaaaa acha u hater mkuu ww ulishindwa kumuanza mwanzo city boyz tukaingia umebak kutoa macho. Anyway bado ninavuta pumzi nikitulia nitaanzisha kauzi ka marejesho
 
Back
Top Bottom