Friends howz ur EID UL FITRI?

Friends howz ur EID UL FITRI?

Yasmin

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
241
Reaction score
58
Mine was waoo,Ajab!!!! What about u friends?

Ilikuwa Bomba saaana, hasa baada ya kuunganishwa.... tumeifanya ki mobile style. jioni tunaliendeleza

Nilifurahishwa sana na pombe za sikukuu, Yaani ilikuwa noma watu wanapotea mpaka mlango wa uani

ha ha ha ha kweli ilikuwa noma lol!

Mine was waoo,Ajab!!!! What about u friends?
Ulipata Room?

Me Nilikuwa kazini so Ni poa sababu niliingiza fweza za kutosha.. Leo ndio Sikukuu kwangu Nimemualika AD

pole km ilikuwa mbaya

thankx lakini kwanini waislam wa hili jukwaa ni wachoyo ivo kuanzia kwenye ftari mlitutosa hadi pilau jama?msifanye hivo next idd.

thankx lakini kwanini waislam wa hili jukwaa ni wachoyo ivo kuanzia kwenye ftari mlitutosa hadi pilau jama?msifanye hivo next idd.

next time u r welcome!!!

Back
Top Bottom