Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

TheMnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2022
Posts
738
Reaction score
1,886
Kesho tutakuwa na mahafali ya postgraduates hapa UDSM, mimi na rafiki yangu (foreigner) tutakuwa na sherehe fupi majira ya jioni, bahati mbaya hatuna marafiki wa kujumuika nasi kutokana na interaction ndogo kwenye physical environment!

Kwa walio tayari, (walau 3 females) walio na hobby ya ucheshi na wana good smiling faces, karibuni tushiriki pamoja, sisi tutakuwa 4 tunataka kampani ya wadada 3)

Note. Itakuwa kwa ajili ya kufurahi, (kula kunywa chochote) kwa gharama zetu, baada ya event kutakuwa na nauli za uber...(strictly: sio sexual event), yeyote atakayekuwa tayari karibu PM!
 
Madomo zege
 
Kelsea Lizzy kuna ofa huku, cha msingi ni kusmile tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…