Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

Duh kazi ndio umepotea wiki kadhaa jamani...mhm wee unatuficha. Shem kafanya mambo makubwa.

Mie mzima kabisa. Welcome back
Sasa huyo shem wakunificha wiki kadhaa hata kama ni vacay angekuwa amenipeleka wapi muda mrefu hivyo? 🤔

Siningemfilisi mkaka wa watu....?😆😆
Asantee!! Glad to hear that.
 
Sasa huyo shem wakunificha wiki kadhaa hata kama ni vacay angekuwa amenipeleka wapi muda mrefu hivyo? 🤔

Siningemfilisi mkaka wa watu....?😆😆
Asantee!! Glad to hear that.
Ah wee kuna watu wana mihela vacay wiki kadhaa kitu kidogo bwana kama mwanaume kapenda na hela anazo
 
Back
Top Bottom